Habari ndugu na jamaaa.....napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru mungu kwa uhai na afya bora aliyotupatia..
Katika maisha sisi wanadamu si kitu kwani tunakutana na vitu vingi sana ambavyo havipo chini ya uwezo wetu ila katika maisha usijutie maamuzi na mara zote jibu la kwanza ndo sahihi..kwani kila jibu duniani ni sahihi inategemea umelifikisha vipi kwa mhusika..
Napenda kuchukua nafasi hii ya pekee kukushauri ndugu amua jambo katika mfumo chanya na ujiulize kwa nini nimefanya hivi na ni kwa manufaa ya nani..
Zaidi ya hapo thamini na heshimu maamuzi yako..............
11/06/2016
TAKE ACTION
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni