Ijumaa, 10 Juni 2016

TAKE ACTION IN YOUR LIFE

Habari ndugu na jamaaa.....napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru mungu kwa uhai na afya bora aliyotupatia..

Katika maisha sisi wanadamu si kitu kwani  tunakutana na vitu vingi sana ambavyo havipo chini ya uwezo wetu ila katika maisha usijutie maamuzi na mara zote jibu la kwanza ndo sahihi..kwani kila jibu duniani ni sahihi inategemea umelifikisha vipi kwa mhusika..

Napenda kuchukua nafasi hii ya pekee kukushauri ndugu amua jambo katika mfumo chanya na ujiulize kwa nini nimefanya hivi na ni kwa manufaa ya nani..
Zaidi ya hapo thamini na heshimu maamuzi yako..............
 







                                                              11/06/2016
                                                          TAKE ACTION


Jumatano, 8 Juni 2016

Dear parents, teachers, brothers and sisters..........its my only hope that you are fine and everyone is okay around you...I would like to share a bit what I have with you....Because I have been asking various questions concerning a good life but one of my teacher in my university said,,,,good life is to whom,,where and when,,,,or in other way good life is from the day you born until the day you die...WHAT IS YOUR OPINIONS ON THAT,,,,say something even a little bit...